GET /api/v0.1/hansard/entries/1613849/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1613849,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1613849/?format=api",
    "text_counter": 268,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bi. Spika wa Muda, ni makosa pia. Waswahili husema, samaki wote hunuka lakini wanamshuku kabale. Kiongozi wangu, Bw. Khalwale, kuna siku hayuko kwa Seneti kwa sababu tofauti. Kama juzi, alikua na mtoto mdogo na sikumwona huku. Wakati Seneta wa Kakamega akisema Seneta Methu ako Wamunyoro na hajaambiwa na Seneta Methu kama ako huko au sehemu zingine kwa sababu, ninajua kule yuko na sio Wamunyoro, ni haki kweli? Si vizuri kusema, Seneta Methu ameenda Wamunyoro akakosa kuja Bunge la Seneti. Kuna watu wanaomchagua na wanatusikiza siku ya leo."
}