GET /api/v0.1/hansard/entries/161793/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 161793,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/161793/?format=api",
    "text_counter": 663,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Waziri anayezungumza amesema kwamba ikiwa Waziri yeyote anaweza kushindwa na kazi, achukue hatua ya kuwajibika kisiasa. Hivi majuzi, Bunge liliweza kufutilia mbali na kuzamisha katika kaburi la sahau, hatua ya Serikali ya kubuniwa kwa jopo la kuchunguza maafa ya kisiasa. Mswada huo uliletwa na afisi yake. Yeye, kwanza, angechukua hatua ya kujiuzulu kisiasa. Hiyo itakuwa ni kuwajibika kisiasa ndani ya Serikali!"
}