GET /api/v0.1/hansard/entries/1618761/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1618761,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1618761/?format=api",
"text_counter": 188,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mhe Spika, ningependa kuwaambia Mhe. Otiende Amollo na wenzake kuwa huyu ni mtoto wetu mrembo sana na mzuri lakini hajakuja hapa kwa maswala ya ndoa ila kuchapa kazi. Ni mwanamke na ni vyema kuwa wanawake wanapoonekana katika sehemu ya kazi, isionekane ndoa tu bali wapewe nafasi yao ya kujenga taifa. Asante sana, Mhe Spika."
}