GET /api/v0.1/hansard/entries/1623549/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1623549,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1623549/?format=api",
    "text_counter": 43,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu wa Spika. Naunga mkono ombi lililoletwa hapa na Sen. Hamida. Mimi ni mmoja wa walioadhirika na janga hili ambapo dawa zinazotumiwa zinafika mahali haziwezi kutibu. Kuna uwezekano kwamba zinatumiwa vibaya au visivyo. Yale madawa hutumika kuua bakteria katika miili yetu aidha kwa wanyama au binadamu, ikitumiwa isivyofaa au watumie generic, zinatuletea matatizo. Ila tuko na taasisi husika zinafaa kuhakikisha kwamba dawa zinazoingia nchini ni za hali ya juu na zikitumika zitafanya kazi ipasavyo. Umuhimu wa dawa ni kuponya na umuhimu wa sabuni ni povu. Kwa hivyo, ikiwa dawa zinazokuja hazifai kwa sababu binadamu The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}