GET /api/v0.1/hansard/entries/1623550/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1623550,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1623550/?format=api",
    "text_counter": 44,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "akizitumia zinawaathiri, taasisi zinazohusika kuanzia Wizara ya Afya, zinafaa ziwajibike na kusema ni kwa nini. Bw. Naibu wa Spika, la mwisho nikuchangia taarifa iliyoletwa na Seneta wa Migori. Utaona kwamba gatuzi nyingi zetu hawana haja sana kuhakikisha usalama wa zile mashine tulionazo katika mahospitali. Tunapata hasara kubwa mno kukiwa na uharibifu wa moto na ukosefu wa pesa ya kuhakikisha kwamba zile mashine zimerudishwa tena. Ili kuhakikisha kwamba hakuna hasara, serikali za gatuzi zinafaa zihakikishe kwamba zimechukua bima kuhakikisha kwamba kukiwa na janga lolote, hakuna kupoteza zile mashine ambazo ziko katika mahospitali yetu. Asante sana."
}