GET /api/v0.1/hansard/entries/1623629/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1623629,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1623629/?format=api",
    "text_counter": 123,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kibwana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Haya sio matusi kwa Sen. Dullo tu, wala aibu au uchungu kwa Sen. Dullo tu. Ni uchungu kwa wanawake wote Kenya nzima. Tunaomba kuwa haya maneno yasiishie hapa bali tuendelee nayo na tujue ni hatua gani itachukuliwa. Sisi wanawake tutajipeleka kortini iwapo itaendelea. Tuko tayari sisi sote kushikana pamoja ili tuende kufuatilia mambo haya. Tunaambia gavana kuwa tutakutana naye kortini."
}