GET /api/v0.1/hansard/entries/1623702/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1623702,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1623702/?format=api",
"text_counter": 196,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ahsate, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili nichangie hii Hoja ya kumkumbuka mwendazake Professor Ngũgĩ wa Thiong’o. Alikuwa ni gwiji wa sanaa ya uandishi. Ameandika vitabu karibu 200. Ameandika pia michezo mingi ya kuigiza. Ameweka Kenya na Afrika katika upeo wa juu kwenye masuala ya sanaa. Maisha yake yalianza katika hali ya chini lakini alitumia kipaji chake na masomo kujiweka katika hali ya juu katika masuala ya usanii na akatambulika ulimwengu mzima The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}