GET /api/v0.1/hansard/entries/1624000/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1624000,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1624000/?format=api",
"text_counter": 205,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili nitoe pole na rambirambi zangu kwa watu wa Kibra, hasa viongozi ambao wameleta hili jambo ndani ya Bunge. Poleni sana kwa kupoteza wapendwa wenu."
}