GET /api/v0.1/hansard/entries/1624680/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1624680,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1624680/?format=api",
"text_counter": 398,
"type": "speech",
"speaker_name": "Emurua Dikirr, UDA",
"speaker_title": "Hon. Johana Kipyegon",
"speaker": null,
"content": " Askari ambao walipiga hawa watu risasi wako wapi? Wako kazini, wamekamatwa, ama wamefutwa kazi? Hilo ni swali la kwanza. Swala la pili ni DCC ambaye tunaambiwa alipigwa transfer. Saa hii ako ofisini kule Lolgorian na ningesema labda hayo sio makosa ya Chairman . Tungepanga Waziri huyo aletwe hapa ili ajibu kama huyu Deputy County Commissioner bado yuko kazini."
}