GET /api/v0.1/hansard/entries/1625085/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1625085,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625085/?format=api",
    "text_counter": 300,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu Spika, nimekaa karibu na Sen. Tabitha Mutinda. Ni kawaida ya wanaume kuwaona wanawake na wanawake kuwaona wanaume. Huyu ni dada yangu, na nimepewa ari na majukumu kutoka nyumbani ya kuhakikisha ya kwamba anavaa vipasavyo na wala hatoki katika njia ambayo tumemfundisha kama wazazi wake. Hiyo ndio sababu niliangalia nikaona ya kwamba hana viatu, lakini ameshavaa viatu. Ninatumaini ya kwamba ataendelea namna hiyo. Asante sana."
}