GET /api/v0.1/hansard/entries/1625354/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1625354,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625354/?format=api",
"text_counter": 105,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": null,
"content": " Asante, Bw. Spika. Tunaona kwamba Seneta anaongea kwa hii Kauli na kuna Maseneta wengi wamesimama. Hiyo ni kinyume na kanuni zetu za kudumu. Ingekuwa vyema kama mmoja wetu akiwa anaongea, sote tuweze kumskiza kwa makini. Wale wanaozungumza wanaweza endelea kuzungumza lakini wakiwa wameketi, sio kusimama namna hiyo. Asante."
}