GET /api/v0.1/hansard/entries/1625437/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1625437,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625437/?format=api",
"text_counter": 188,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, ningependa kuchangia kidogo kuhusu Taarifa ambayo imeletwa na Seneta wa Kakamega. Kuna mambo matatu ambayo yalitokea na lazima tuyang’amue yote. Kwanza ni kuwa kulikuwa na wakora walioingilia maandamano ya Gen Z. Vile vile, kulikuwa na wapita njia ambao waliuawa ilhali hawakuwa katika maandamano."
}