GET /api/v0.1/hansard/entries/1625438/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1625438,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625438/?format=api",
    "text_counter": 189,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nasema hivyo kwa sababu kuanzia kesho, tutakuwa na mazishi ya wanne ambao waliuawa. Wengi wao walikuwa wa umri wa miaka 20. Wengi wao walipigwa risasi wakiwa nyumbani kwao na wengine wakiwa katika sehemu zao za kazi."
}