GET /api/v0.1/hansard/entries/1625439/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1625439,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625439/?format=api",
"text_counter": 190,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kama viongozi, ni vizuri pia tung’amue mbivu na mbichi. Nimeona wengi wakisema kwamba watu wauawe. Sisi sote tutafariki. Kuna miti inakomaa mahali ya kutengeneza majeneza yetu tutakapokufa. Kwa hivyo, ni vibaya kiongozi yeyote kusimama na kuamuru watu wauawe. Kwa nini nasema hivyo? Hiyo ni kama hali ya kwapa kunuka pasipo kidonda. Watu wanafikiria kuwa ni wengine tu wanaouawa bali siyo wao."
}