GET /api/v0.1/hansard/entries/1625441/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1625441,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625441/?format=api",
"text_counter": 192,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, sijasikia mtoto yeyote wa kiongozi ambaye ameuawa kwa risasi. Chambilecho wahenga; “Kuku wa maskini hatagi, na akitaga, haangui, na akiangua, vifaranga wanauliwa na mwewe.” Vifaranga wa wale maskini ndio wameenda. Tunaomba tuwe kimya bila kuongea maneno ya kuudhi ili tuwaache waomboleze na kuwazika kwa amani."
}