GET /api/v0.1/hansard/entries/1625478/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1625478,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625478/?format=api",
"text_counter": 229,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": null,
"content": "Kenya kwa upande wa utalii. Jambo la kusikitisha ni kwamba hivi sasa Mombasa na vitongoji vyake katika Pwani vimekuwa vya mwisho katika utalii. Utalii umekufa katika eneo la Pwani."
}