GET /api/v0.1/hansard/entries/1625479/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1625479,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625479/?format=api",
    "text_counter": 230,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": null,
    "content": "Mengi pia yameletwa kuwa ni kwa sababu ya uzembe ulio katika Kenya Airways. Shirika letu la ndege tunalojivunia kama Pride of Africa sio tena. It is the shame ofAfrica. Ni aibu tupu kwa sababu asubuhi kama leo nilipanda ndege kuja Nairobi. Ukitumia Skyward, unalipa Shilingi 7,800 ama 8,900. Ukisafiri na Kenya Airways kutoka Mombasa hadi Nairobi ikiwa uliagiza jana, unalipa Shilingi 25,000, tofauti ya Shilingi10,000. Hiyo ni mara mbili ya safari ya kutoka Mombasa kuja Nairobi na kurudi."
}