GET /api/v0.1/hansard/entries/1625482/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1625482,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625482/?format=api",
    "text_counter": 233,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": null,
    "content": "Bi. Spika wa Muda, hakuna sheria za Kenya zinazompa Waziri ama Mhe. Rais ruhusa ya kuagiza Mkenya apigwe risasi. Ni jambo la kusikitisha. Matamshi kama hayo yanatakikana kuzuiliwa kwa kuwa hayaungwi mkono na Katiba. Ni kinyume cha sheria."
}