GET /api/v0.1/hansard/entries/1625489/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1625489,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625489/?format=api",
"text_counter": 240,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kuna haya mambo ya kushambulia watu wakiwa katika maandamano ilhali wahuni wanaendelea kufanya kazi yao bila kusimamishwa na askari yeyote. Jana niliangalia nikaona ya kwamba nyanyake Julia Njoki ni mama mkongwe. Hata yeye alipigwa na hewa ya kutoa machozi akitetea haki ya mjukuu wake. Babake msichana huyo, Martin Kariuki Rienye, ndiye chifu wa sehemu hiyo. Hata mfanyikazi wa Serikali anavunjwa moyo na hawa askari wanaopenda kupiga watu risasi."
}