GET /api/v0.1/hansard/entries/1625537/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1625537,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625537/?format=api",
    "text_counter": 288,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kibwana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bi Spika wa Muda. Langu ni kuchangia kuhusu huduma za Kenya Airways na Jambo Jet. Huduma hii imekuwa dhaifu. Inasikitisha kuwa hata bei ya kampuni hizi za ndege imepanda na imekuwa vigumu kwa wananchi wa Kenya kusafiri. Ningependekeza washushe bei ya nauli. Hii itarahisisha mambo kwa wananchi wa Kenya kusafiri. Lakini kwa sasa huu mfumo wa utoaji wa leseni ina masharti magumu. Kwa hivyo, ndege za kwenda Mombasa na Nairobi zimekuwa chache. Kwa hivyo, Serikali ingefanya hima kutoa leseni nyingi kwa mashirika ya ndege zingine ili kuwe na competition. Hii itawezesha Wakenya kufaidika. Waweze kupunguza bei ya nauli ili kuwe na mfuto wa tourist kuja Kenya zaidi lakini bei ya nauli kwa ndege za local iko juu na Wakenya wengi hawawezi kulipa hiyo bei. Iko juu."
}