GET /api/v0.1/hansard/entries/1625822/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1625822,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625822/?format=api",
"text_counter": 167,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": null,
"content": " Bw. Waziri nina imani ya kwamba unaelewa vile nitavyokuuliza maswali haya yanayohusu kaunti ya Kilifi- (1) Je, unaweza kueleza hali halisi ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Malindi? (2) Je, unaweza kufafanua ekari ngapi ya ardhi ilitengwa kwa ajili ya mradi huu wa upanuzi? Pia eleza idadi ya wamiliki wa ardhi watakaoathirika."
}