GET /api/v0.1/hansard/entries/162591/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 162591,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/162591/?format=api",
    "text_counter": 576,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, ufisadi katika sekta ya kilimo ni kielelezo cha kila siku. Ripoti kama hii inapotolewa, ni lazima iwe kielelezo kwa Wizara ya Kilimo kuhakikisha kuwa uchunguzi unafanywa katika kila sekta, ili wakulima waweze kufaulu."
}