GET /api/v0.1/hansard/entries/162593/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 162593,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/162593/?format=api",
    "text_counter": 578,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Vile vile, Bw. Naibu Spika wa Muda, katika Ripoti iliyotolewa na Kamati ya Bunge, inasemekana kwamba kulikuwa na shamba la zaidi ya ekari 850, ambalo liliuzwa kwa Kshs33 milioni. Wale waliolinunua shamba hilo walilipa Kshs19 milioni peke yake. Mpaka sasa, pesa zilizozalia hazijalipwa!"
}