GET /api/v0.1/hansard/entries/162594/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 162594,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/162594/?format=api",
    "text_counter": 579,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Tatizo tulilo nalo katika taifa hili la Kenya ni ukosefu wa mbinu mpya za udadisi, uchunguzi na uzalishaji, kutokana na uongozi mbovu. Kwa vile shamba hilo liliuziwa mtu binafsi ili atumie katika kazi zake yeye mwenyewe, jambo hilo lilifanya Serikali kukosa namna ya kuweza kutoa maonyesho ya kisasa ya kilimo kwa wakulima!"
}