GET /api/v0.1/hansard/entries/162595/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 162595,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/162595/?format=api",
"text_counter": 580,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kutuny",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, tatizo lingine ambalo lilitokea pale ni kwamba wale walionunua shamba hilo hawajakamilisha kulipa pesa zile. Ni kana kwamba Kamati hiyo ama Bodi ilikuwa na nia ya kuliuza lile shamba, ili kupata fedha za kuendelesha kazi za Wizara. Lakini mpaka sasa, limebaki deni ambalo halijalipwa. Ndiyo maana tunasema kwamba lazima uchunguzi ufanywe!"
}