GET /api/v0.1/hansard/entries/162596/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 162596,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/162596/?format=api",
    "text_counter": 581,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, Bodi hiyo ilianza kupigwa na mvua ama kupata kichapo cha mbwa msikitini wakati Waziri aliyekuwepo wakati huo, Bw. Kipruto arap Kirwa, alipomchagua mama ambaye alikuwa anaitwa Madam Sego. Hapo ndipo matatizo yalipoanza kuikumba Bodi hiyo. Lakini nawashukuru watu wa Cherangany kwa sababu walichukua hatua madhubuti na ya haraka na kuhakikisha kwamba wamemng'atua uongozini kwa sababu tabia kama hiyo ingejikita mizizi. Walifanya kile ambacho Halmashauri ya Kufanya Uchunguzi katika Taifa la Kenya haingefanya! Kwa hivyo, natoa shukrani kubwa sana kwa watu wa eneo la Bunge la Cherangany kwa kumleta kijana mufti, tena ambaye ana tabia \"kuli-kuli\" na mikono misafi katika Bunge."
}