GET /api/v0.1/hansard/entries/162600/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 162600,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/162600/?format=api",
"text_counter": 585,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kutuny",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": "Kwa sasa, kila siku, tunazungumza juu ya ufisadi. Lakini hakuna hatua yeyote ambayo inachukuliwa na Serikali! Tungependa Serikali hii ya Muungano ambayo washika dau wote walikuwa wameweka ruwaza yao ya kwanza ni kupambana na ufisadi, wachukue hatua mara moja, uchunguzi ufanywe na wale wote waliopora mali ya umma waweze kufikishwa mahakamani!"
}