GET /api/v0.1/hansard/entries/162601/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 162601,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/162601/?format=api",
    "text_counter": 586,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, katika Taifa la Kenya, vile vile, wale ambao wanateuliwa kusimamia halmashauri kama hiyo mara nyingi huchaguliwa kwa sababu huwa ni marafiki wa kufa kuzikana ama wako karibu na wanaoteua kama pua na mdomo. Lakini hali ya masomo na taaluma ya mtu haiwezi kufuatwa! Ndiposa unapata kwamba mtu anayetakikana kuwa daktari wa kuwatibu watu katika Hospitali kuu ya Kenyatta anachukuliwa na kwenda kuwa Mkurugenzi katika Halmashauri ya Pareto katika Taifa la Kenya! Nafikiri wakati umefika katika Taifa la Kenya kuwachuja"
}