GET /api/v0.1/hansard/entries/162604/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 162604,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/162604/?format=api",
    "text_counter": 589,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, katika Taifa hili la Kenya pia, tumekuwa na watu ambao wamekuwa na mkono mrefu. Wanapoteuliwa, katika sekta hiyo, wanachagua ni nani ambaye atasimamia kitengo cha mambo ya pesa au mambo ya mauzo. Jambo hilo limefanya halmashauri nyingi katika kilimo kupoteza mali yao."
}