GET /api/v0.1/hansard/entries/1626427/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1626427,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1626427/?format=api",
"text_counter": 103,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante Mhe. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada wa Hazina ya Usawa katika nchi yetu. Hazina hii ilianzishwa mwaka wa 2010 kupitia Katiba mpya. Katika kifungu cha 204 imetolewa kwamba kutakuwa na hazina ijulikanayo kama hazina ya usawa yaani Equalisation Fund ili kusaidia maeneo ambayo yalikuwa yametengwa kwa muda mrefu ili yaweze kuwa karibu sawa na yale maeneo mengine. Katika mgao wa kwanza, kulikuwa na kaunti 14 ambazo zilichaguliwa kama kaunti ambazo zilikuwa zimetengwa sana ambapo huduma kama vile afya, barabara na The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}