GET /api/v0.1/hansard/entries/1626431/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1626431,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1626431/?format=api",
    "text_counter": 107,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "na vile vile pia zinalipwa kwa wakati unaofaa. Hii ni kama pesa hizi ni za dharura. Tuliona kwamba kuna shida hizi katika miaka yote kutoka tupate Uhuru. Kwa hivyo, tukaweka hazina ambayo lengo lake ni kuziba zile shida ambazo zilikuwa katika yale maeneo. Kwa hivyo, iwapo tutakuwa tunavuta miguu, Serikali haiko tayari kulipa; mara tunaambiwa exchequer hakuna na kadhalika. Hii ina maana kuwa yale maeneo yataendelea kubaki nyuma vile vile na huu usawa ambao tulikuwa tunatarajia kuwepo kupitia kwa hazina hii, hautapatikana. Asante Mhe. Spika kw kunipa fursa hii."
}