GET /api/v0.1/hansard/entries/169925/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 169925,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/169925/?format=api",
    "text_counter": 432,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. K. Kilonzo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 172,
        "legal_name": "Julius Kiema Kilonzo",
        "slug": "kiema-kilonzo"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, asante sana kwa kunipa nafasi hii. Ninaunga Hoja hii mkono kwa dhati. Madiwani ndio wanaofanya kazi katika sehemu za mashinani. Wao ndio wanaokaa na wananchi. Sisi waheshimiwa Wabunge tukiwa huku Nairobi, madiwani ndio wanaosikiliza shida za wananchi wetu ili watueleze. Tunajua ya kwamba madiwani hawawezi kulipwa mishahara mizuri na maeneo wanayowakilisha. Kwa hivyo, kama Serikali Kuu itaweza kuwalipa, Ja nuary 28, 2009 PARLIAMENTAR Y DEBATES"
}