GET /api/v0.1/hansard/entries/172037/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 172037,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/172037/?format=api",
    "text_counter": 335,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kuttuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Jambo la Nidhamu, Bw. Spika. Jambo la Nidhamu kwa sasa ni kwamba Waziri anasema kwamba bei ya kutoka kule nje itaongezwa kutumia ushuru ama mkopo kutoka nje. Sijui kama Waziri ana habari kwamba wakulima kwa sasa wamesusia kuuzia Serikali mahindi mpaka bei ya nafaka iongezwe. Hii ni kwa sababu Serikali inatafuta mkopo zaidi ya bilioni Kshs7.6. Kwa hivyo, nataka kusema kwamba---"
}