GET /api/v0.1/hansard/entries/172818/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 172818,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/172818/?format=api",
    "text_counter": 455,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Naomba, tafadhali, kuzungumzia tu lile jambo lililoletwa na Bw. Jirongo la kubadilisha orodha ya majina. Hao ng'ombe wote wakiibwa wanapelekwa Taita. Wote! Na wamejazana huko! Sisi tunajiuliza: Tuanze kuwaiba na sisi pia? Kwa hivyo, naomba, tafadhali, mfikirie: Kama hoo ng'ombe wote wakiibwa huko juu wanaletwa Taita na wamejazana huko na hakuna mtu yeyote anayeshughulika kuwafuata huko, kwa nini Ja nuary 21, 2009 PARLIAMENTAR Y DEBATES"
}