GET /api/v0.1/hansard/entries/173338/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 173338,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173338/?format=api",
    "text_counter": 381,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Bw. Spika, Mswada huu haujafafanuliwa wazi wazi. Haibainiki kama Waziri aliuangalia kwa undani. Kama Mswada huu unaweza kurekebishwa, kampuni hizi za meli kubwa kubwa ambazo zina makao yao nje ya nchi hii na mengine humu nchini hazitaruhusiwa kusafirisha mizigo nje ya nchi. Ninamwomba Waziri aangalie jambo hilo."
}