GET /api/v0.1/hansard/entries/173339/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 173339,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173339/?format=api",
"text_counter": 382,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Jambo la pili, Bw. Spika, ni kuwa kuna kampuni ambazo zinashughulikia meli hapa nchini. Kwa Kizungu, tunaziita shipping agents . Ukiangalia, utaona kwamba zinapewa riba fulani na kampuni za meli. Pia, kampuni hizi uamua kiasi cha pesa ambazo wanalipa kampuni za humu nchini. Ikiwa wataamua kulipa theluthi thelathini, hiyo ndio kodi nchi yetu itapata. Kwa hivyo, inatunyima kodi kwa sababu wakiamua hawatalipa, itakuwa hivyo. Kwa Kizungu, tunaiita transfer pricing . Ninamwomba Bw. Waziri aangalie jambo hili kwa ukamilifu."
}