GET /api/v0.1/hansard/entries/173340/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 173340,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173340/?format=api",
"text_counter": 383,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Bw. Spika, tumeambiwa kuwa bandari ya Lamu itakuwepo. Hela zinatafutwa ama zipo? Je, watu wa Lamu wamehusishwa na jambo hili? Ni jambo la kufadhaisha moyo kuona vile ilivyofanywa Kilindini. Watu wa Changamwe, Wajomvu na Wadigo walinyimwa haki zao. Je, tunataka kuchukua msimamo huo huo na watu wa Lamu? Je, Pwani itakuwa \"inalaliwa\" mpaka lini? Ninamwomba Waziri"
}