GET /api/v0.1/hansard/entries/173344/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 173344,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173344/?format=api",
    "text_counter": 387,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Bw. Spika, jambo la nne ni kuhusu mabaharia. Kama ujuavyo, vijana wetu wengi wameomba kazi na wameingia katika shughuli za ubaharia. Wengi wao wanatupwa majini kama wameingia kwa meli bila ruhusa. Ninamwomba Waziri, vile vile, aangalie kwa ukamilifu ili vijana hawa watendewe haki. Na kama ni ajira, wapewe ajira ya haki. Mara nyingi, meli hizi zinatia nanga katika bandari ya Mombasa na zinatafuta watu wa kufanya kazi kutoka nje na vijana wetu wako hapo na wanaomba ajira."
}