GET /api/v0.1/hansard/entries/173345/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 173345,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173345/?format=api",
    "text_counter": 388,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Bw. Spika, jambo la mwisho ni kuhusu umilikaji wa ardhi na maji yetu. Hivi sasa tunaona meli nyingi zinaingia na kufanya vile zitakavyo katika sehemu ya nchi yetu. Ninamwomba Waziri aangalie kuwa nchi yetu inalindwa kutoka ufuo wa baharini Kilindini hadi Lamu. Ni meli ngapi zinaingia hapo kuvua samaki? Tuna njia gani ya kuweza kuhakikisha kuwa heshima ya nchi inahifadhiwa na kuwa meli yoyote inayoingia humu nchini haipewi kibali cha kuvua samaki inavyotaka, kubeba mali wanavyotaka na kuuza wanavyotaka ilhali watu wa Kenya wanapata taabu?"
}