GET /api/v0.1/hansard/entries/173346/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 173346,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173346/?format=api",
    "text_counter": 389,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Bw. Spika, huo ndio mchango wangu kuhusu Mswada huu. Ni matumaini yangu kuwa Waziri ataweka maanani maoni yangu hasa nikiangalia kuwa kampuni nyingi ambazo ziko hapa hivi sasa zinamilikiwa na mafedhuli wa nchi za nje. Tukiangalia watu wanaosafirisha mizigo humu nchini, watu wa Kenya hawajahusishwa kumiliki ama kuwa na hisa katika kampuni hizi za kusafirisha mizigo. Kampuni hizi zimeandikishwa humu nchini na zimekubaliwa kusafirisha mizigo. Ninaomba wakati huu tusikubali kamwe kampuni za meli ambazo zimeandikishwa nje ya nchi hii kuhusika katika usafirishaji wa mizigo humu nchini."
}