GET /api/v0.1/hansard/entries/173540/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 173540,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173540/?format=api",
    "text_counter": 583,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Haji",
    "speaker_title": "The Minister of State for Defence",
    "speaker": {
        "id": 26,
        "legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
        "slug": "yusuf-haji"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, ninakushukuru kwa kunipa nafasi ya kuweza kuzungumza juu ya jambo hili ambalo ni muhimu sana. Mtu yeyote ambaye ana fikira timamu atakubaliana nami ya kwamba walimu wana haki ya kuuliza nyongeza ya mshahara kwa sababu kila mfanyakazi pamoja nasi, ingawa mara nyingi tunapigwa, hatuwezi kukataa kuongezwa pesa."
}