GET /api/v0.1/hansard/entries/173542/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 173542,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173542/?format=api",
    "text_counter": 585,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Haji",
    "speaker_title": "The Minister of State for Defence",
    "speaker": {
        "id": 26,
        "legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
        "slug": "yusuf-haji"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, sisi ni viongozi katika nchi hii na tumepewa mamlaka ya kuangalia nchi nzima kwa jumla. Ni vizuri tufikirie sana jambo hili kwa sababu walimu ndio wafanyakazi pekee ambao wako zaidi ya 250,000. Kama watalipwa nyongeza hiyo mara moja, wakati tunajua ya kwamba hata Bajeti yetu ambayo tunasema tutapata kwa sababu ya shida zilizotoka kwa sababu ya uchaguzi, huenda tusipate pesa hizo."
}