GET /api/v0.1/hansard/entries/173544/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 173544,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173544/?format=api",
    "text_counter": 587,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Haji",
    "speaker_title": "The Minister of State for Defence",
    "speaker": {
        "id": 26,
        "legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
        "slug": "yusuf-haji"
    },
    "content": "Pia, ni makosa ikiwa tutainyima Serikali kibali cha kuomba pesa za kununua chakula na kulisha watu wetu ambao wana njaa wakati huu. Tukikataa hiyo, tunafanya makosa kwa binadamu. Mtu mmoja akifa leo kwa sababu Bunge hili limetukataza kuomba pesa, nafikiri ni vizuri mtu akiiba pesa ashtakiwe na tumfuate tukiwa pamoja."
}