GET /api/v0.1/hansard/entries/173545/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 173545,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173545/?format=api",
    "text_counter": 588,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Haji",
    "speaker_title": "The Minister of State for Defence",
    "speaker": {
        "id": 26,
        "legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
        "slug": "yusuf-haji"
    },
    "content": "Ni vizuri tuangalie hadhi na heshima ya Bunge hili. Bunge hili ni Jumba la wazee ambalo linatakiwa kutatua matatizo ya nchi hii. Kama kuna watoto wako wawili wanapigana kama vile Wizara ya Elimu na walimu, ni vibaya Wabunge kuenda kufanya mkutano wa wanahabari na walimu wakipeleka mambo yao dhahiri mbele ya umma. Itakuwa vibaya na ni kuvunja heshima ya Bunge hili. Kama mtu yeyote anataka kupinga ama kukubali kitu chochote, nidhamu ni kwamba tuje katika Bunge hili na tuzungumze yale ambayo tunataka kuzungumza."
}