GET /api/v0.1/hansard/entries/173641/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 173641,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173641/?format=api",
    "text_counter": 684,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Shaban",
    "speaker_title": "The Minister for Special Programmes",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, ni kweli kwamba waalimu wanahitaji kuongezewa mishahara. Lakini kabla ya kuongezewa mishahara, lazima tuulizane: \"Ni vipi wataongezewa hiyo mishahara?\" Kweli kabisa ingewezekana, walimu wangelipwa mara moja kama Bajeti yetu ya mwaka huu ingeweza kuturuhusu. Lakini ukweli ni kwamba tusikae hapa Bungeni tukitaka kuwapaka walimu mafuta kwa mgongo wa chupa."
}