GET /api/v0.1/hansard/entries/173643/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 173643,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173643/?format=api",
    "text_counter": 686,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Shaban",
    "speaker_title": "The Minister for Special Programmes",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Lakini juu ya hapo, ni lazima tujiulize mambo machache. Waziri wetu wa Elimu amesema kwamba ataweza kuwalipa kwa kugawanya malipo hayo mara tatu. Kuna Wabunge wengine wamesema kwamba hata wakipatiwa mara mbili, itafaa. Kwa hivyo, tunapozidi kupiga debe, tukumbuke ya kwamba: Je, tunalolisema linawezekana ama tunalizungumza tu kwa kupiga pararira kuwafurahisha wananchi?"
}