GET /api/v0.1/hansard/entries/174273/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 174273,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/174273/?format=api",
    "text_counter": 585,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mungatana",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Medical Services",
    "speaker": {
        "id": 185,
        "legal_name": "Danson Buya Mungatana",
        "slug": "danson-mungatana"
    },
    "content": "Mimi ningependa kusema machache. Sisi kama Wakenya tunajivuna kwa sababu huyu ni mmoja wetu. Babake ni kutoka sehemu hii, na sisi, kama Wakenya, tunafurahia siku hii ambayo imepatia nchi yetu sifa kubwa katika ulimwengu mzima. Hata huko Marekani tunaambiwa kwamba wanaume wetu wana soko nzuri zaidi. Kwa hivyo, sisi tunafurahi sana."
}