GET /api/v0.1/hansard/entries/174274/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 174274,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/174274/?format=api",
"text_counter": 586,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mungatana",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Medical Services",
"speaker": {
"id": 185,
"legal_name": "Danson Buya Mungatana",
"slug": "danson-mungatana"
},
"content": "Jambo ambalo ningependa kusema la muhimu ni kwamba kuna mambo ambayo ni lazima tujifunze. Tunaweza kuchagua rais ambaye hana mambo ya ukabila katika roho yake na akawa kiongozi wa Kenya. Kama vile Obama amechaguliwa na Wamarekani bila kuwa na kabila kubwa. Ukabila si kitu ambacho kilimpeleka juu bali ni mambo ambayo aliamini."
}