GET /api/v0.1/hansard/entries/174275/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 174275,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/174275/?format=api",
"text_counter": 587,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mungatana",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Medical Services",
"speaker": {
"id": 185,
"legal_name": "Danson Buya Mungatana",
"slug": "danson-mungatana"
},
"content": "Jambo la pili ni kwamba si lazima kuchagua wazee kuwa viongozi wa nchi ya Kenya. Kila wakati tukienda kwa kura ni kwamba lazima uwe na nywele nyeupe. Hapa Kenya imekuwa ni kama desturi kwamba watu ni lazima wawe na nywele nyeupe. Ndiyo maana viongozi wetu wanajipaka vichwa vyao rangi. Jambo ambalo tunajifunza ni kwamba si lazima tuchague wazee kuwa viongozi wa nchi ya Kenya. Bw. Obama ameingia akiwa na nywele nyeusi na zinazong'ara kama za Bw. Mungatana."
}