GET /api/v0.1/hansard/entries/174287/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 174287,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/174287/?format=api",
"text_counter": 599,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mungatana",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Medical Services",
"speaker": {
"id": 185,
"legal_name": "Danson Buya Mungatana",
"slug": "danson-mungatana"
},
"content": "Jambo lingine ambalo tumejifunza leo ni kwamba unaweza kuwa kiongozi hapa Kenya bila kuingia katika kuhusishwa na kashfa za ufisadi. Tunaomba kwamba wakati wa kura ya mwaka 2012, tuangalie swala la tatu ambalo tumejifunza kutokana na ushindi wa Rais Barack Obama. Si lazima uwe mfisadi, ama uwe na kabila ama pesa. Tunaweza kuchagua mtu ambaye atasaidia nchi hii na atupeleka mbele, na si wafisadi wanaotaka ofisi kubwa."
}